Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Jamani mimi humu ni mwenzenu nipokeeni
0 Reactions
3 Replies
731 Views
Mi mgeni jamani lakini tasomeka vizuri jukwaa la sheria hivi punde.
0 Reactions
12 Replies
853 Views
Natafta rafik wa kuchat nae
0 Reactions
4 Replies
712 Views
Salam kwenu wote. Nikaribisheni na mm nijisikie mmoja wenu.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wapendw hodi!! hodi Jamvini..!!
0 Reactions
4 Replies
615 Views
can say hellow........./ and knock the door!
0 Reactions
6 Replies
653 Views
Hello, guys!. Am a newly member, this is just to introduce myself to u "together we go!!. Phobia is poverty"
0 Reactions
6 Replies
865 Views
Chelewa ufike, hatimaye nimeamua kujiunga na JF baada ya tafakari ya kipindi kirefu. Nimekuja kuchapa kazi, hivyo nipokeeni kwa mikono miwili.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
nawasalimia wote wana JF
0 Reactions
5 Replies
718 Views
Hallow wanajamii mpo?
0 Reactions
5 Replies
735 Views
Habari members, Mimi mgeni hapa, napenda kushirikiana na nyinyi! In short ni dume, mwanafunzi wa chuo, mcheshi, mbishi, mkosoaji, sina chama wala sishabikii mpira Naamini kuna Mungu Na...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Hodi wapendwa japo barazani nitakaa
0 Reactions
7 Replies
700 Views
Habari wanajamvi, kwa heshima na taadhima naomba ushirikiano wenu mimi km member mpya ktk jamii forums. Amani kwenu
0 Reactions
6 Replies
600 Views
Za mtaa huu jamani wana jf miye mgeni kabisa mtaa huu na ninakamba mguu cjui ata nitatembeaje umu ebu nifungueni
0 Reactions
7 Replies
956 Views
hello!
0 Reactions
4 Replies
671 Views
Am a new born baby in this family (jamii forum). Bt simjui baba, mama, kaka wala dada... Kama mpo jitokezeni jamani kumpokea huyu baby
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Naombeni mnikaribishe katika jf wana wote,na mnitembeze ktk vitongoji vyote wa jf.thanks
0 Reactions
5 Replies
769 Views
Jamani me mgeni,kwema?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
nafurah kuungana na watanzania wenzangu hapa JF. Najckia faraja kuchangia mawazo na raia wenzangu. Asanteni
0 Reactions
6 Replies
691 Views
Hodi wanajamvi! Nami naomba nafasi ya kuwa sehemu ya tumain jipya la mabadiliko!!
0 Reactions
4 Replies
682 Views
Back
Top Bottom