Mungu Ibariki Tanzania na wanyonge wake wasio kuwa na uwezo, Mungu ibaariki Africa na walalahoi wote ameeen ameeen.
Ningependa kutoa yangu moyoni haswa yanayonikera mimi binafsi ni muda sasa...
Nawasalimu Waungwana,
Dhumini ya bandiko hili ni kuwajulisha ya kuwa nitakuwa nanyi katika forum hii
Natumai ushirikiano wenu wenye tija katika majadiriano ya hapa na pale.
Wenu katika ujenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.