Ndugu na thinkers jf
Napenda kujitokeza leo kua mmoja wa wachangiaji katika forum yetu yenye kila sababu ya kuitwa mwakilishi wa hali halisi ya maisha yetu ya kila siku.
Nina issue ningetaka...
:)
Wapendwa wanaJF,
Nimependa kuwa katika "forum" hii ya "great thinkers".
Naitwa KIM JONG wa Bongo. Nadhani sote tutafurahia kuwa pamoja hapa JF.
Natanguliza shukrani zangu
KIM
Salam wana JF,
Mimi ni mtayarishaji/Muongozaji na msanii wa filamu za Kibongo, nimejiunga hapa ili tushirikiane kwa pamoja katika kuendeleza tasnia yetu ya Bongo movie. Naomba ushirikiano wenu...