habari zenu wana JF
Naomba mtupokee, katika forum yenu, tunatambua kutakuwa na hoja nyingi kutuhusu na sisi tupo hapa kwa ajili ya hilo, tutajitahidi kadiri tuwezavyo kuwapatia majibu sahihi...
Nasikia Madam B, Paloma, Kipaji Halisi, Mentor, Bujibuji, KakaKiiza tangu tukutane pale Leo tupo hapa Pub mlikuwa mnamsumbua Mzee Mtambuzi kutaka kujua ID yangu.
Kwa kweli mimi nilikuwa ni msomaji...
Dear members,
With great honor I am humbly introducing myself as a new member in this site. My name is Dr. Donald A Jitta, and I'm living at a small village called Kibara located in the northern...