Leo ni siku yangu ya pili kuwamo humu ndani na nimeona si vyema kuwavamia "great thinkers" kimya kimya!!
Lengo ni kujifunza vitu mbalimbali na kuongeza mtandao wa marafiki!
Habari zenu? natumaini salamu hizi zitawakuta katika afya njema, Mimi Naniliu nimejiunga JF leo leo saa hii, kama mwanachama mpya ninaomba mnipokee mnikaribishe na kinywaji mnipe, ni hayo tu...