Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hello! Am bro Sam, the new member.
0 Reactions
6 Replies
925 Views
Wadau wa jamii forums natumaji nitashirikiana na nyie kujifunza mengi
0 Reactions
6 Replies
675 Views
Baada ya mda mrefu wa kureview humu ndani kama mgeni sasa nimeingia rasmi kujiunga na magreat thinker wenzangu hasa wa JUKWAA LA SIASA katika kukuza demokrasia ya kweli hapa nchini. . Naombeni...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
salamu zenu wana jamvi..mgeni humu,naomba mnipokee
0 Reactions
5 Replies
695 Views
Wakuu napenda kuwashukuru Mods kwa kuconfirm account yangu naomba kuwa mmoja wenu katika hoja zenu! Naomba kuwasilisha. Urgent.
0 Reactions
6 Replies
935 Views
Gr8 mynds..... May I come in?
0 Reactions
8 Replies
899 Views
Mimi ni mgeni hapa jamii forum na ninaomba mnipokee.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Am new naomba mwongozo wajomba
0 Reactions
7 Replies
805 Views
Natumaini kujifunza mengi katika jamiiforum
0 Reactions
8 Replies
981 Views
Shalom,Asalaam alykum,Jambo.Nipokeeni mgeni mie.
0 Reactions
5 Replies
896 Views
habari za hapa wana jf ?
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Members wazima?Naomba mnifungulie mlango wa jf...
0 Reactions
6 Replies
810 Views
Hamujambo vijana wangu? Mie ni msomaji mzuri na mfatiliaji mzuri wa yanayoendelea humu jamvini..nliwahi kuwepo e mail yangu ikawa hacked na wajuvi but wazo tete is back. Gime a like please!
1 Reactions
7 Replies
877 Views
Mie ni mgeni kabisa jf naombeni ushirikiano na upendo.
0 Reactions
5 Replies
957 Views
nilikuwa jela kwa wiki mbili sasa nimerudi
0 Reactions
5 Replies
872 Views
Nimeambiwa et huu ni uwanja wa 'ma.great thinker' .. mwenzenu mie, nikarbsheni!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
waungwana Mm mgeni.
0 Reactions
7 Replies
829 Views
Nawasalimuni nyote wana Jamii Forum. Naomba mnipokee Damian Pissy
0 Reactions
6 Replies
832 Views
hodii you good people in the forum. may i kindly join you please!
0 Reactions
6 Replies
781 Views
Naomba mnipokee ndani ya nyumba ya great thinkers
0 Reactions
5 Replies
849 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…