Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Habari zenu watanzania wenzangu, nimefanya uamzi wa busara kujiunga ndani ya hii forum baada ya kuona itanifaa kwa kupata changamoto mbali mbali. Nimekuwa mfatiliaji wa topics za forum hii kweli...
0 Reactions
7 Replies
908 Views
Habarini humu jamvini?mimi ni mgeni naomba ukaribisho wenu waungwana! Kwa bahati mbaya kwa wale wapinzani ningependa kuwataarifu kwamba mimi ni mwanachadema damadam!na declare interest!
0 Reactions
4 Replies
694 Views
hi wana Jf, mko pouwa! naomba kukaribishwa humu ndani.
0 Reactions
4 Replies
622 Views
Nimeona nitoe taarifa za uwepo wangu humu...Hodi Siku njema. Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
6 Replies
860 Views
Habari zenyu banduguuuu......??????????
0 Reactions
5 Replies
951 Views
Nilikuwepo humu kipindi fulani,baada ya kupotea kwa muda mrefu nilivyorudi,ikawa ngumu ku-log in kabisa. Sasa nimechoka kuwa guest muda wote,naomba mnikaribishe tena bila kinyongo ndugu zangu.
0 Reactions
9 Replies
815 Views
Naomba ruhusa ya kujiunga kwa wana Great Thinker nashukuru ombi langu iwapo litakubaliwa
0 Reactions
10 Replies
985 Views
Hello Jf members,I have been a guest for years now and I'm happy to be registered in this great site. I am looking forward to your great co operation so that I may ultimately be a great thinker.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Jamani wanajf simplelady nmejoin
0 Reactions
6 Replies
859 Views
Ni furaha kwangu kujiunga na jamii forum naomba ushirikiano wenu,naheshimu mawazo yenu kwa kua wengi wenu mnaitakia nchi yetu mema wakati huu mgumu kiuchumi.
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Hellow jf members nimechoka kuwa guest kwa muda mrefu sasa! Nimeamua kujiunga na chama kubwa hodiiiii wenyeji!
1 Reactions
6 Replies
1K Views
hello fellas
0 Reactions
5 Replies
985 Views
habari zenu wana jamii.ninaomba kuwa rafiki yenu.napenda changamoto zenu zinafanya kichwa changu kinakuwa na mambo mapya na mazuri.ahsanteni kwa ushirikiano wenu, may god bless u all
0 Reactions
6 Replies
1K Views
hamuyambo bandeko!
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Jamani naomba kujinasibu na wanachama wenzengu wa JF. JF kwangu ni mambo yote kwa sababu tunakutana wote humu.
0 Reactions
2 Replies
785 Views
ndo kwanza naingia naomben support yenu
0 Reactions
5 Replies
743 Views
Jamani nivue viatu au naruhusiwa kuingia navyo!?!
0 Reactions
3 Replies
673 Views
Waheshimiwa na mimi leo nimekaribishwa katika jukwaa hili naamini kawmba tutashirikiana vizuri
0 Reactions
4 Replies
675 Views
Nipokeeni mie mgeni wenu.
0 Reactions
4 Replies
731 Views
Hellow!new member from dar
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…