Nawashukuru sana mods JamiiForums kwa kufanikisha hili, pia members wote humu mmeni inspire kwa michango yenu mizuri ikafanya mpaka nikaamua kujiunga.
Ahsante sana, itapendeza kama...
Hodi humu ndan mim mgeni nisie na kamba mguuni.
Natumaini nitapanua ufahamu wangu kwa kuwa humu wapo watu wenye uelewa juu ya mambo fulani.
All in all nipende kusema nafurahi kuwa member wa hii...
Rejea na kichwa habari hapo juu,mimi ni kijana nimejiunga na jamii forum siku za hivi karibuni
Naomba mnipokee mnifundishe katika mambo mbalimbali.
Wenu mtiifu
G.B
GANA BANKS
Nimejiunga hapa JF kwaajili ya kutetea haki za binadamu wote na wa aina zote. Tusimame pamoja kuleta mabadiliko chanya yatakayoanzia kwenye hii Forums kisha mpaka mitaani. Asalaam Aleiykum, Bwana...