Hodi Jamani.
Samahani wana JF
Baada ya kuchangia mara zaidi ya 80,
Nimegundua kuna sehemu ya kujitambulisha.
Ndo hivo jamani,
STC - Saidia Tujenge Chetu,
Pamoja na kukerwa na uhaini wa viongozi...
Kwa wakubwa tu ndo natoa hi salamu
Kwa wadogo duu, nishapokea zenu long tym,
Ni MC mkuu, nshatinga kwenye game,
Nawapeleka tuuu, mabraza na masista duu,
Kwenye hili jukwaa, naleta ushindani
Japo...