Nafurahi kuwa mwanajamii forum na ninaamini ni mahali sahihi pa kujifunza mambo mengi ya kijamii na kutoa mchango wa mawazo, maoni na kuelimishana katika nyanja mbalimbali za maisha ya kila siku.
Nimeingia rasmi ktk jukwaa hili la jamii forums kwa nia ya kujenga tanzania tunayoitaka kwa hoja, bila kupendelea itikadi ya chama chochote kwa maslahi tunayotaka. Penye kukosoa na penye pongezi...
Habari zenu kina kaka na kina dada, kwa wakubwa zangu shikamooni. Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa jukwaa lenu na leo nimepewa ridhaa ya wakubwa kujumuika nanyi. I am so much privilaged to join you...