Vyenye nilikuwa napita, ghafula nikaona link ya jamii forums na iyo ilikuwa way back zenye tunasema ni miaka kadhaa, na nilipata kama nahitaji kujoin coz bila shaka ziko mambo za kujifunza. So...
Ndio najiunga na jamii forums ..............................
Hodi hodi humu ndani wenyeji mpoooooooooooooooooooo????
Asalam aleykum? Bwana Asifiwe? Tumsifu Yesu kristu?
Thanx.
When I was preparing for this speech I asked my family for advice. One member replied, "There's a first time for everything, so try to be funny and brief"
Thank you for the privilege of...
Habari zenu wakuu. Kwa muda sasa nimekuwa ''mchunguliaji" kwenye hili jukwaa na sasa nimeona ni muda muafaka wa mimi kuingia humu ndani. Wakuu wote naombeni mnikaribishe