Natumaini wote ni wazima na mtanipokea kwa mikono yote.
Pia kama kuna mwenye uzi wenye yale mambo ya muhimu kwa ajili ya wageni basi asisite kutupia link hapa.
Ahsanteni na week-end njema!!
Naomba nijikite moja kwa moja kwenye swala langu, ndugu wana jamvi naombeni mnikaribishe jamvini, nimekua mfatiliaji mkubwa sana wa JF.
ila leo ndo imekua siku yangu ya kwanza kupost, Mungu awape...
Mzukaa wana jamvi ? Yerereeee!!!
Naombeni wana Jf mnipokee leo nimetimiza ndoto yangu ya kujiunga Jf kutokea Umongolian .
Wanawake ninaowakubali humu ni pisi Kali BICHWA KOMWE - ,Kwa Wanamume...
Mwl Crian Rwegasira Karoly alizaliwa tarehe 02/02/1990 katika kitongoji Nyamitundu Kijiji Kisana kata Kyebitembe wilaya Muleba Mkoani Kagera.
Alianza shue katika shule ya msingi Burigi kata...