...kundi hili la vijana la boko haram tayari limeshaingia kuwa la kigaidi...tangu mwanza hawa walikuwa ni vijana wasio na ajira waliojikusanya sehemu moja...serikali ikaficha ukweli na kuliita ni...
Kwa takribani miaka miwili sasa nimekuwa nikitembelea jukwaa hili kama mgeni, sababu zipo nyingi ila kubwa ni ugumu wa mawasiliano ya intanet kwa maeneo niliyokuwa mwanzo.....pamoja na ugumu huo...
Hallo members of jamiiforum i'm a new comer in the site,by asking you the good coperation also i promise to share more issues concerning the politics,economics,social and others.Thank you.
naitwa sabas mamiro natokea arusha ni mhitimu wa chuo kikuu MUCCOBS moshi,ningependa niwafahamu wote hasa wanaotokea arusha na kama kunakiongozi wetu wa arusha jf nimfahamu ajue na mimi...
Nimejiunga JF kubwa ni kupata news ambazo mostly n current pia mambo yote ya kijamii,ni mtandao bora sana kulinganisha na mingine,nc sunday 2 all members na iwe ya kutafakari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.