Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hamujambo nyote
0 Reactions
3 Replies
939 Views
Jaman safiiii...nikaribishen mim Malumbizo
0 Reactions
7 Replies
802 Views
Wakati najiunga nilisahau kujitambulisha. Oops sory guys, i guess everybody atanisamehe. Hi everyone, im six, and im new here
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Naingia kwa mbwembwe zote kama new comer naitwa Malumbizo.je yule jogoo kwa ajili ya mgeni yupo au kaibwa?
0 Reactions
4 Replies
982 Views
Mimi mpya hapa, nawasalimuni wakongwe wa JF. Naomba nafasi tuendeleze mapambano kuikomboa nchi.
0 Reactions
2 Replies
807 Views
i'm read now 2 serve n be served by JF
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naitwa malumbizo napiga hodi kale kajogoo kapo jama hakapo mi hata matembele napiga tu
0 Reactions
4 Replies
884 Views
Hodi wana jf
0 Reactions
14 Replies
1K Views
:frusty: Hodi hodi, ng'ong'o, ng'ong'o,.......! Asanteni sana kwa kunipokea :thumb: Ninaitwa Byeyombo. Ni mkulima wa vanilla kutoka Bukoba Vijijini. Ninaongoza ushirika unaoitwa Maruk Vanilla...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Mtu yeyote anaejua webhosting hapa bongo ambayo ina huduma poa lakini sio expensive sana. Anijuze
0 Reactions
4 Replies
918 Views
Naomba kutumia fursa hii kuwasalimu Wanajamii forum. Msiba wa ndugu yetu, jembe letu, hakika umeacha pengo kubwa sana na utendaji wake hodali utakubukwa daima. Kwa kuwa Mungu amempumzisha, nina...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
nikaribisheni nyumbani kwetu pazuri nimepakumbuka hapa jamvini
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hodi wanajamii,nimeona vema namie nijiunge jamvini,naomba munipokee.
0 Reactions
10 Replies
983 Views
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa hii forum,sasa nimeamua kuwa active member ili nami nitoe dukuduku zangu za kumoyo. Naomba kukaribishwa tafadhari.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Waungwana nimewasikia... Nimewafikia.. Nimekuja niwe mmoja wenu.
0 Reactions
15 Replies
959 Views
Nami nimeingia katika jamii hii ili kuweza kupata taarifa na kujifunza vitu vingi hasa kutokana na uwezo katika nyanja mbalimbali miongoni mwa wana jamii.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
jamani wana jamiii mie ni mpya mambo zenu nimefuatilia sana na nimefurahishwa a mchakato mzima wa jamii forum. hodi hodi jamani natumai wote wazima wanajamii na mtanipokea
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hi Wanachama!!! Mimi nilikuwa pamoja nanyi muda mrefu umepita. Kwenye mwaka 2006. baada ya kupotea kwa muda mrefu nilisahau Address ya kuingia katika ukurasa huu. Mungu mkubwa leo...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nami naingia ndani ya hii nyumba wenyeji, naomba mnipokee!!
0 Reactions
5 Replies
754 Views
Wandugu tupo pamoja
0 Reactions
3 Replies
740 Views
Back
Top Bottom