Hi brothers and sisters,am a new member, natarajia sapoti kutoka kweni wakuu,nimeamua kujiunga baada ya kugundua JF ni "stress remover" kwa aina zote za stress dunia,
naomba kuwasilisha.
Waheshimiwa wanachama wa jamii forums!
Mimi naitwa Makalangilo,nimejiunga na jamii forums kwa kuamni kuwa ni mahali pa kutoa maoni na michango mbalimbali.Pia ni mahali ambapo ninaweza kupata...
Hello
Wananiita Silver natokea Dar es salaam Tanzania,pia huwa USA.
Nategemea manufaa toka ktk forum hii na pia kuinufaisha kwa yeyote yangu michango kwa watakao ona ina tija.
Nikimkwaza mtu...
Hi wanajf nimekuwa nikifuatilia mambo mengi sana ya nchi yetu yawe ya kisiasa kijamii uchumi na michezo kupitia jf hadi naamua kuwa mwanajf ni jinsi gani wanajf wamekuwa ni msingi muhimu katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.