Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
nakuja kama hivi wandugu
0 Reactions
3 Replies
837 Views
Waungwana,salaam,tuko pamoja
0 Reactions
3 Replies
628 Views
HI
Habari zenu wote
0 Reactions
7 Replies
909 Views
Natumai mpo poa Wanajamii.Mi kama mgeni sina budi kuwasalimu ivyo mpate kujua namba ya Member inaongezeka.Nataraji Support kubwa toka kwenu na kwangu.ASANTEN
0 Reactions
8 Replies
937 Views
Kwa heshima kubwa kabisa amani iwe nanyi wote. Nimekuwa mwanafunzi wa jf kwa muda mrefu sasa. Nimejifunza mengi hapa jamvini nikaona mmenikomaza vya kutosha, mmeongeza uelewa wangu kwa kiasi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
naomba kukaribishwa humu ndani na kuweza kuchangia na kusaidiwa inapoitajika asanteni
0 Reactions
7 Replies
960 Views
Hallow Jf nimejiunga rasmi, naomba ushirikiano wenu
0 Reactions
5 Replies
730 Views
Sallaamu ! nimeamua kujiunga na wapambanaji wenzangu ili tuendeleza mapambano ya ukombozi wa nchi . Jina langu hilo ni Jamii forum kikwetu!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mi ni mgeni humu sina nnachokijua,naogopa kutukanwa /kushushuliwa!! Nipokeeni na mnibembeleze maana nimezoea kudekezwa! Ahsanteni
0 Reactions
35 Replies
2K Views
wadau ninaomba mtumie ulimi wenu kwa kuniramba machoni na kutoa tongotongo zote zilizopo katika macho yangu
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hodi jamani!
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mnipokee kwenye hii jamii
0 Reactions
14 Replies
1K Views
habari,mimi ni dada yenu,wana jf naomba mnipokee.
0 Reactions
8 Replies
847 Views
jamani nami nimekuwa mmoja wenu, naomba ushirikiano wenu
0 Reactions
6 Replies
703 Views
samahani wenyeji nimekuja alfajir amjaamka!ila najitambulisha jina langu ni Adharusi=maana ya jina langu ni Mapambano au Vita(kamusi ya kiswahili ya Tuki)Naomba umnipokee.5
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wana jf mgeni wenu nimeingia kama first year ktk orientation a.k.a ka'njuka' hope the home of great thinkers would make me wisier..
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia maada za jamii forum kwa muda sasa nimeona na mie nijiunge na magreat thinkers. Ntajitaidi nami kutoa mchango wangu kwa ajili ya jamii yetu. I am happy now to be a part of...
0 Reactions
10 Replies
820 Views
Ndio nimejiunga wandugu nawasalimu wote
0 Reactions
4 Replies
901 Views
Bandugu naomba mnipokee!nimekereketwa kujiunga nanyi kwenye hili jamvi la ukweli.ahsanteni sana!.
0 Reactions
18 Replies
971 Views
jaman....kweli nimevutiwa na jukwaa hili...kiukweli nataka kua mmoja wa wa family hii ili tuweze kubadirisha mawazo na kujengeana hojaaa mbalimbali za maisha.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom