Habari za majukumu Wajumbe, baada ya kuwa msomaji wa JF kwa muda sasa, leo nimeona namimi nijiunge rasmi ili kuweza
kuchangia mawazo katika mambo kadha wa kadha, tafadhili naomba upokezi wenu...
Nipokeeni.
Pia ningependa kupata ndondoo mbalimbali za matumizi ya jukwaa hili kama kuna maangalizo tupeane mapema.
Mfano nikitaka mchumba napataje....
Nikitaka kutangaza nauza simu yangu...
Mbunge wa Jimbo la Butiama Jumanne Sagini amewataka wananchi kufanyiwa vipimo kabla ya kuoana kama waelekezavyo watoa huduma za afya ili kupunguza tatizo la ueneaji wa ugonjwa wa sikoseli ambapo...
Ulevi wa pombe sigara bangi na kilevi chaaina yoyote pia umalaya kuwa nawanawake wengi wew kama kijana pia ujinga nichanzo cha umasikini maisha nilazima upambane tunza kidogo ulichonacho kiwekeze...