Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Ninawasalimu wanaJf wote.Nashukuru kukubaliwa kuwa moja wa wanachama wapya.
0 Reactions
6 Replies
839 Views
Hi great thinkers, mie ndiyo napiga hodi hapa jamii forums. Long live jamiiforums. Asante, Magane
0 Reactions
5 Replies
771 Views
nimekua nikifuatilia hoja mbali mbali ndani ya jf as a guest lakini sasa nimeamua nami niwe active member wa kweli kweli kwa kuleta hoja nzito na michango iliyosimama. Tafadhali nipokeeni ndugu...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
"peace be up on to you"
0 Reactions
7 Replies
962 Views
Dear Administrators jamiiforum.com Thank you very much for accepting my registration to join the forum I will be an active member in sharing what I know with my fellow wananchi katika mikakati...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hellow members, Hope you're doing good, me too. Niko na furaha kujiunga na jamii forum, pamoja daima.
0 Reactions
7 Replies
893 Views
Hodi hodi jamani jamvini naingia salam natoa kwa wote mliotangulia JF ndio makazi mwanajamii kwangu mwana kiwia Sihitaji kuazima jamvi kwani sina wa kumlilia Ninachotaka ni mada za moto kuchangia
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Hodi wana JF katika ukumbi huu wa watu makini.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
naomba mnikaribishe waungwana. Wakubwa shikamooni. Wadogo marahaba. Wengine habari zenu. Nawapenda woooote.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hodi hodi jamvini, wakubwa nawasalimu, Niliingia mitini, kwenda tafuta modemu, Nillijifekia bani, sasa narudi kwa hamu, Nimejitwika mabomu, handaki jichimbieni.
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Great forum, I will post a lot about a lot of things, I have much interests. :)
0 Reactions
7 Replies
902 Views
wanajavi hodi hodi naingia
0 Reactions
10 Replies
956 Views
wa JF mpooo???? naombeni kuingia
0 Reactions
10 Replies
1K Views
hi to all!! jamani naombeni mwongozo wa humu ndani......
0 Reactions
9 Replies
1K Views
kama jina langu linavyo someka hapo juu,napenda kujitambulisha kwenu na naomba mnipoke.Natakie afya njema na Mungu abaliki
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wenyeji naomba mnikaribishe nami niwe familia ya Jf.
0 Reactions
3 Replies
615 Views
Siku nyingi sana nilitaman kujiunga nanyi wana jumuiya,leo nimefanikiwa kuingiza guu lang katika forum hii maarufu nchin na hata nchi za nje! Nipokeeni basi wana jamii..
0 Reactions
5 Replies
942 Views
Wenyeji naomba mnikaribishe nami niwe familia ya Jf.
0 Reactions
7 Replies
859 Views
hodi hodi wanajavi
0 Reactions
3 Replies
809 Views
jamani naomba mnipokee ili na mimi nijifunze mengi kutoka kwenu.asanteni
0 Reactions
6 Replies
942 Views
Back
Top Bottom