Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hi
Hello wana JF.naomba mnipokea nakuja kwenu nipate kubadilshana mawazo kwa mambo mbalimbali yaliyomo ktk jamii.naamini mmenipokea kwa shangwe. Amani upendo mshikamano uzidi uzidi ndani ya JF
0 Reactions
10 Replies
1K Views
naisi hapa ni maali sahihi kwangu....
0 Reactions
11 Replies
1K Views
tupo pamoja
0 Reactions
11 Replies
919 Views
hodi hodi wana JF,nipokeeni mwenzenu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Napiga hodi wajemeni naingia jamvini ok?
0 Reactions
8 Replies
926 Views
Habari zenu wanaharakati wa humu ndani? naomba wenyeji mnikaribishe kwa ukarimu mgeni mie. natumai 2takuwa pamoja. thanx.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
5428 members online, current time 2340 hrs, i like!. Lakini bado overall percentage ya watumiaji internet tz ni ndogo sana, lets keep this going. By the way, I come in peace wanaJamii Forum..
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Waungwana mm ni mwana jukwaa (atarashii) mpya, naomba kukaribishwa ndani ya nyumba.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa muda nimekuwa msomaji lakini sio mshiriki wa mada. Lakini sasa nimeamua kujitambulisha rasmi. Msijali karate zangu ni kwa ulinzi binafsi tu na kama sanaa, msiniogope!!!! Au vipi!!!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
salaam wana JF, Imekuwa ni mda mrefu sana tangu nilipotoka sasa zidi ya miezi 6 vile, nilikuwa nimetoka kwenda nchi za mbali kwa masuala ya hapa na pale. Sio siri nimekuwa nikiwakumbuka sana, ila...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
hilo sam chicharito now in the jamii forum....be ma friend let post a lot 2 become a hero......
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hodi hodi... Nilikua nikifatilia JF kwa muda na sasa nimejiunga. Nataka kuanza kuchangia na mimi maana naona mambo ya kuchungulia dirishani hayafai.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hodi wenyewe,baada ya kutembelea jamvini muda mrefu leo nimeamua kuhamia,naomba mnipokeee.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
I ril lyk jamii forum!thanx
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Baada ya kusikia upatu wa Jamii forums ukivuma nikaona hebu nipige hodi. Hodi hodi wajameni!
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Hi!JF, mimi binafs nimevutiwa na mijadala yenu na ushauri mnaowapa wenye mattzo hapa jf,nimefurah kuingia humu kwn najua nitafaidika na mengi kutoka kwenu,naomben mnipokee jaman! Thnx.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hodi jamn tushee idea udaku na mengine mengi.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomba mnipokee kwa mikono miwiil kwani ni bado njuka
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndugu zangu amani ya Mungu iwe nanyi nimefurahi kuwa kwenye jamvi hili naamini mtanikaribisha.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom