Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Wadau mliofaidi huku jf kwa kipindi kirefu tupokeane jamani naona kuna mambo mengi ya msingi niliyakosa ila nadhani cjachelewa..
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nilikuwa likizo kijijini kwetu, umeme hakuna kule. Si kwa kuwa kuna mgao lah hasha kwani hawajawahi kuona hata balbu labda gropu ktk tochi na ktk taa za BAISKELI. Anyway, kimsingi nimeamua kujivua...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
I feel like i know u all! Its very interesting kuwa katikati ya watu 'usiowajua' halafu ukawa happy.nikaribisheni jamani! I like u ol.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu naomba mnikaribishe mdau wenu katika jamii hii. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
0 Reactions
7 Replies
839 Views
I was blind about many issues,but now i can see,jamani kumbe mlikuwa mnaenjoy hivi.....!good to join jf.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
habari.... nimekuwa napita sana hapa and finally have decided to be a member..proud to be a part of u...tanx.:happy:
0 Reactions
7 Replies
700 Views
Habari zenu vp wana jf?nafaham hapa kuna wa2 wengi ambao wanajua vi2 vng concerng computer..so as we cud share cuz maisha ndo haya!naomba kujua iv ni njia ipi inawawezesha ma operator kutrap modem...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
I thank myself for that i'm into the forum, wait for lots of mine, political, socio-economic and more.
0 Reactions
7 Replies
919 Views
Habari zenu ndugu zangu naomba mnikaribishe mdau wenu katika jamii hii. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
0 Reactions
8 Replies
986 Views
Hi hi hiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Halo halo haloooooooooo every body
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Waungwana na magreat thinkers naomba tuungane kwa pamoja kujenga jumba la busara na uzalendo.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Baada ya kuzunguka Twitter, Facebook, Myspace bila kupata ninachotaka hatimaye nimegundua hapa patanifaa sana.
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Eyy ! Hello there .. Yaani nilikua ile nataka kujitambulisha ! Si mnajua tena new tech nini .. So nawapa hello members
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mlidhani Tanzania mmepona na mie mnajidanganya kwa maana sasa nimeingia rasmi kuwashambulia. Nikaribisheni au msinikaribishe ila ndo nimeingia.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
hodi jf,pliz nikaribisheni na nipeni maelekezo jinsi ya kuweka avatar na mengineyo maana mwe kiinglish kigumu!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hodi jamani wanafamilia!kuwa miongoni mwa Great Thinkers,feels good...naomba tushirikiane wazee...
0 Reactions
6 Replies
771 Views
salam wote ndani ya nyumba mi mgeni humu naombeni mnipokee.
0 Reactions
6 Replies
741 Views
nilikua kwenye the qeep,lakini hapa...!funiko,nikaribisheni
0 Reactions
4 Replies
962 Views
This is Pinochet,just saying hello to the members,thanks and regards.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hey Everybody, I hope everybody show some luv!
0 Reactions
6 Replies
821 Views
Back
Top Bottom