Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
naomba niwasalimu wote kwa pamoja kwa maamkizi mema na yaamani tena yenye baraka tele mbele ya muumba wetu "Assalam Alaykum warahmatullah wabaraqaat"
0 Reactions
22 Replies
3K Views
odi badugu naomba munipokee jamani tuweze kujumuika pamoja nimatumaini yangu. wapendwa.
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Hod jf,mm c mgen sana wa kusoma threads za jf hasa mmu na job vacancy forums,nimeamua kujiunga il nami nipate fursa ya kuchangia mada za humu ndan,mnipokee wandugu
0 Reactions
13 Replies
1K Views
mimi ni mgeni napenda sana kuwa mwanajamii wa JF naomaba kupokelewa Natanguliza shukrani
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Sasa nimeamua kujiunga. Naamini mtanipokea nami sitawaboa.
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Naomba mnipokee katikaJamii forum ili niweze kujiunga katika kubadilishana mawazo na kutumia jamii forum kama jukwaa langu la kutolea kile ninachoamini kuwa kitachangia katika kuijenga Tanzania na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
sasa nimeingia na kamata kamata kwa wanaotetea posho na kujirundikia vyeo imeanza kazi mnayo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hellow to u all great thnkers, am a new comer here, naomba mnipokee, tuchukuliane, tusaidiane mawazo na tusameheane pale tunapogongana! Asanteni sana!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wana jf, ubongo ulikuwa unapenda kukua bila salaam za kujitambulisha kwenu!! Nimekosea kwa hilo !!!! Naomba kujiunga katika foleni ya kikombe cha tiba ya kupanua akili na hekima ya kupokea na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hi
Hellow JF members.........! am new in here! am i welcome?
0 Reactions
10 Replies
880 Views
bila shaka wote wazima.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
kwa heshima na taadhima naomba mnipokee.
0 Reactions
7 Replies
996 Views
Jaman wana Jf naomba mnisaidie jinsi ya KUBOLD TITLE iNANISHINDA
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba ruhusu yenu tuweze kujenga hili jukwaa kwa pamoja.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
The program iz very interesting and inasaidia kuwa wise nikaribisheni mwenzenu!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani nabisa hodi naombeni mnipokee hivi nilivyo. Nilikuwa tu msomaji ila sasa hivi nimevutiwa na mimi nataka kuchangia lakini naombeni msiniulize haya yafuatayo 1. Kwanini hufui boxes za mumeo...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu mtanisamehe kwa kutumia jina la Kilimanjaro peke yake.But thats where Im from guys!Lakini TZ nzima tupo pamoja kama nini na nini sijui.Mi ni binadamu pia,kama kuna yeyote nitamkosea au...
0 Reactions
76 Replies
6K Views
Hodi hodi uwanjani najimwaga naomba mnikaribishe mwenzenu nimefutiwa na michango ya forum hii. Regards MamaTibwita
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mambo zenu waungwana naombeli mnipokee kwa miguu miwili. Mini ni mwenzenu nimejivua gamba, nimekuwa kijana
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wajameni mi mpigazeze nikalibishepo
0 Reactions
6 Replies
777 Views
Back
Top Bottom