Maana yake ni Oyaaaaaaa au hongeraaaaaa au tumeshindaaaaaa
Naomba mnikaribishe wanajamvi, na Cherekaaaaaaaaaaaaa ndo staili yangu ya nitoke vipi.
Bacardi
Salaam,
Nashukuru uongozi wa jamiiforums kwa kunikubalia kuwa mwanachama.
Nawahakikishia ushirikiano mzuri wa mawazo kwenye mijadala yote inayowekwa humu
Asanteni sana,
SIMBA mtoto.
Asalaaam waaleykum wa Rahman tulahi taala wa Barakatu!!!
Tumsifu Yesu Kristu!!!
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana!!!
1.Nitafurahi kama kila mmoja ataitikia salamu kwa Imani yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.