Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Niaje wana jamvi hili, muungwana mwenzenu najitambulisha jamvini kama mnavyoelewa waungwana jamvini huruhusiwi kuingia na viatu na wala kuingia bila hodi na salamu. Naomba kuwakilisha wakuu.
0 Reactions
4 Replies
987 Views
hodi hodi wazee mpo, nipokeeni:hand:
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu! nimevutiwa sana na ma-issue ya JF nimekubali na sasa naingia naomba ushirikiano wenu wakuu!
0 Reactions
3 Replies
644 Views
Najckia faraja kuwa mmoja wenu.naomben ushirikiano wenu.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Ni matumaini yng kuwa nyote mfresh kiafya kama niilivyo mimi. Kama yupo aliye kuwa hayupo hivyo, Mungu amuondoshee mtatizo yake. Baada ya kuwepo juu kwa muda mrefu huku nikiangalia na kujifunza...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii wenzangu mie ni mgeni nabisha hodi naomba kukaribishwa katika jamvi hili
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni katika forum hii,naomba kupokelewa natumaini nitaendelea kujifunza kutoka mada mbalimbali zinazopatikana katika forum hii toka kwa wajumbe. Aksanteni
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hi Guys,am just a New Kid on the Block. Hope tutabadilishana constructive ideas kwenye forum hii,thx!
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Nimekuwa nasoma habari zenye manufaa kutoka jamiiforums kwakweli nimevutiwa na michango yenu kwa mtu binafsi na taifa kwa ujumla. naomba nami kukaribishwa kujiunga bandugu
0 Reactions
10 Replies
930 Views
Jf mi ni mara ya kwanza kuingia hapa nimepapenda kutokana na mada au mijadala naombeni nijiunge masharti ni yapi.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
I would like to greet you and informing that I am ready to share available important information and ideas. Sorry for being away for soo long. Cheerz...!
0 Reactions
3 Replies
991 Views
Wana jf,kwnza kabisa nawapongeza sn kwa kuleta mchanganuo wa kimaisha unaoendana na wakati uliopo,mm binafsi nimeguswa na mijadala inayokuwepo hapa.Naombeni mnipokee na kunipa mwongozo panapo...
0 Reactions
6 Replies
680 Views
wakuu nawapa hi!ndo nimezama humu ndani!
0 Reactions
5 Replies
861 Views
Waheshimiwa nami nimeona nitie timu, naomba ushirikiano wenu wakongwe
0 Reactions
2 Replies
828 Views
Mimi ni Forgive,nimekuwa nikisoma Jamiiforums na nimeshawishika ni sehemu nayoweza kuwa na kukua kifikra na kiroho. ningependa kuwa mmoja wenu. Forgive
0 Reactions
13 Replies
1K Views
mimi naitwa BOTILO au bia,nimejiunga jf mana panasisimua,changamsha,wazisha,furahisha,chekesha na mengne yoote yaan huku hakuna balaa wala keleui,naomba kukubaliwa na wadau wote cjalewa sa hv jaman
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapendwa; Hii ni mara yangu ya kwanza kujiunga na JF, nimefikia uamuzi huu kutokana na umuhimu wa michango ambayo nimekuwa nikiipata na kuvutiwa na baadhi ya mada. Naomba niwasalimie wote...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Hi
Kwaheri...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
habari yenu bana, nawasalimu wote naomba kukaribishwa chumba hiki
0 Reactions
10 Replies
993 Views
Wakubwa shikamooni, wadogo mamboz? Naomba mnipokee ili na mimi nikue nipate za kwangu na niweze kuwa Great Thinker, naamini pia hata kwa hatua niliyofikia mimi pia nitaweza kutoa mchango wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom