Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Jamani naombeni mnipokee nijisikie nipo nyumbani tena sebuleni.
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Hodi! Hodi wajameni nipokeeni mja wenu.Natumaini mapokezi mazuri. Asanteni. Nyivonduma sir.
1 Reactions
36 Replies
3K Views
mimi ni bonge la mbumbumbu flani hivi.nimejiunga kuskuma miwiki mbele tu. (makofi ,pah pah pah). kuna miblog kibao imeniomba nijiunge nimekataa. nikachagua JF (makofi tena ,pah pah pah)...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hi to all,am a new member who has been visiting and reading many posts here for quite a while now.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ujamu umenizidia naomba niingie nicheze !
0 Reactions
3 Replies
602 Views
Hamjambo wana jamii Baada ya kusoma mada mbalimbali zinazojadiliwa katika jamiiforums kwa muda mrefu nami nimeona nijiunge ili niweze kuchangia mijadala moto moto inayoibuliwa na kujadiliwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hodi wanaJF
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hodi jukwaani,heshima kwa wakubwa na wadogo,kwa siku za karibuni nimekuwa nikitumia muda mwingi ktk jf kwa kweli nimejifunza mengi kupita nilivyo tarajia,na kizuri zaidi nimeona yale ambayo ingawa...
0 Reactions
2 Replies
765 Views
Hello Wakubwa, Nimekuwa great admirer wa JF kwa vile discussions zinazopatikana hapa zina base kwenye facts na sio ushabiki kama vijiweni au mjengoni (sometimes). Nimefanikiwa kujiunga na pia...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Waungwana hamjambo? Mie nipo humu muda mrefu(nikiwa nimeshasajiliwa), ila nilitumia utaratibu wa futari, kwamba ukikuta wenzio wanafuturu, nawe keti ufuturu, sikupiga hodi humu. Kama ni kosa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwanza napenda kuwapeni pole wote mlioathirika kwa namna moja au nyingine na mabomu ya Gongo la mboto.Poleni. Pia napenda kujitambulisha kwenu mie mgeni,nimekuwa nikiwasoma kwa muda mrefu ila...
0 Reactions
6 Replies
952 Views
Natumaini wote mmesalimika na mtikisiko wa mabomu uliojiri kwa usiku wa jana,poleni sana kwa wale ndugu zetu walioathirika na kupotelewa na jamaa zao
0 Reactions
6 Replies
883 Views
Naomba mnipokee nami nipate raha za Jf....waungwanaaa
0 Reactions
6 Replies
927 Views
naombeni mnikaribishe.........
0 Reactions
16 Replies
1K Views
naomba mnikaribishe na ndani ya begi nimeleta zawadi nzuri kwa ajili ya asprin na nansa wengine tukae jamvini tuzungumze ila lazima leo mniambia kitinda mimba wangu 4by4 yupo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nafurahishwa sana na hii forum, nami napenda kujiunga tujadiliane issues mbalimbali
0 Reactions
2 Replies
861 Views
Nimekuwa msomaji kwa muda mrefu na nafurahishwa sana na yanayoendelea humu ,leo nimeona umuhimu wa kuingia ndani naomba mnipokee .....
0 Reactions
5 Replies
948 Views
jamii forum ipo kwenye (fomu),naomba mnikaribishe tucheze pamoja
0 Reactions
5 Replies
976 Views
jamii forum ipo kwenye (fomu),naomba mnikaribishe tucheze pamoja
0 Reactions
1 Replies
654 Views
Hi
i am joining today. Let's share info and ideas.
0 Reactions
3 Replies
924 Views
Back
Top Bottom