Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Shikamooni.mie mgeni humu ndani.natumai mtanipokea...
0 Reactions
7 Replies
782 Views
Wana JF naombeni mwongozo wenu tafadhali
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Mimi ni mwanachama mpya ktk familia hii ya jf ambayo imevutia sana na kuamua kujiunga nayo. Jf inanipa habari latest na za kweli ambazo siwezi kuzipata kwingine. pia wana jf ni werevu kiasi kuwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hodi wanajamvi.I hope tutashirikiana katika kujenga na kuleta habari ambazo zitachangia kujenga taifa lenye maendeleo,umoja na mshikamano.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapendwa mimi huwa nasoma hii Forum lakini sasa nimeamua kujiunga na watu makini, wenye mawazo ya kujenga hii nchi yetu ya Tanzania. Niweze kuchangia pia. Naomba kukaribishwa!!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi ni Bwanamatata, Nimejiunga na JF. All the best to all members
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Salaam wana JF! Naombeni mnipe maelezo yatakayoniwezesha ku highlight original posts kwa ajili ya reference kama wafanyavyo wanajf wenzangu. Nimejaribu mautundu yote nimeshindwa. Natumia nokia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJF, mimi ni mgeni hapa naomba muwe wenyeji wangu tafadhali.
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Hi Intelligent thinkers
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimesoma sana posts za humu ndani kabla ua chaguzi na baada ya uchaguzi. Naomba nijiunge rasmi kwenye FORUM HII. ASANTENI Sincerely yours howard
0 Reactions
3 Replies
725 Views
Jamani, mbona mabomu hivyo kama kwa Hayati Sadam, poleni sana wakimbizi wa gongolamboto na maeneo ya huko. Sisi masaki tulikuwa tunayasikia kwa mbali tu. Nikaribishine, nijisikie nipo nyumbani
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana JF. Niliwamic sana takribani week moja, nilikuwa segerea kwa kosa ambalo silifahamu mpaka leo. Poleni sana kwa Mabomu ya Gongo la mboto. Ongereni pia kwa michango yenu mizuri...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ninawasalimu katika jina la Bwana Yesu Kristu. Mbarikiwe sana.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani wenyeji mimi ni mgeni wa muda kidogo nombeni maana ya pm katika hii forum maana naona tu ukihitaji uni pm Asanteni
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kama Mwanachama mpya wa Jamiiforums naomba kujitambulisha kwenu wanachama wenzangu mliopo jamvini kwa muda mrefu. Nimeona nijiunge nanyi katika jamvi hili lenye kutoa fursa nzuri ya...
0 Reactions
7 Replies
800 Views
Heshima kwa wakubwa na wadogo natumaini mtanipokea kwa mikono miwili
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wanajamii naomba kupokelewa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kaka na Dada zangu na ndugu wote wana JF kwa kweli ni kipindi kirefu sana nilipotea na sasa nimerudi nawaamkia Shkamooooniiii
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu zanguni wajuvi, wadadisi na wengineo, Mie ndugu yenu Kiranga cha Ngeda wa viunga vya bandari iso salama, Kiranga wa upande wa Mbwamaji, Kiranga wa Mkuranga,kakae Muamini na mwana wa Fundi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nataraji mapokezi mazuri jamvini, haya waungwana nikaribisheni.
0 Reactions
5 Replies
910 Views
Back
Top Bottom