Nimeingia kwenye jamii forum kwenye kipindi kitamu ambapo CCM inagalagazwa kama mbayuwayu.........washikaji wamemwachia JK limfie mkononi? Anyway' Hongera sana Chadema, mmeonyesha njia,mkawakabe...
Hi kwenu nyote mnaoendelea kupambana kwa ajili ya Nchi yetu, thanks for resisting a temptation to be silent, thanks for supporting men and women of reason, I just want you to know kwamba...
Napenda kuwashukuru wana jamii kunikaribisha kwenye jumuiya hii iliyo makini, pia nikiwa Kijana ninayependelea Kufatilia na kutafiti mambo ya Kisiasa,kiuchumi na Burudani nitumie fursa hii...
Naanza kwa kuwapongeza wale wooooooooooote wenye mapenzi mema na nchi yetu ambao wako tayari kwa mabadiliko hiyo kesho.
PEEEEEEEEEEEEEOPLE'S POWER.naombeni kesho tumfungashie KIWETE,oh...
jamani wenye nyumba mpooo? mwenzenu ni mgeni kwenye kijiji hiki naomba mnipokee, mwenyekiti wa kijiji ndugu comrade invisible ameniambia nakaribishwa kijijini nanyi wanakijiji wenzangu naomba...
Hi, My name is Cathy Duncan and i am working for multinational organization for past 6 years. Hello to all fellow members and i hope i will have a great time with you guys.
Regards
Cathy...
Mimi ni mwanachama mpya naingia, naomba mnipokee kwenye ulimwengu huu , uliojaa amani, utashi ,hekima na busra tele, kwa watu makini na wenye kujua nini wanachotakiwa kukifanya,
God bless jamii...
Hi, My name is Cathy Duncan and i am working for multinational organization for past 6 years. Hello to all fellow members and i hope i will have a great time with you guys.
Regards
Cathy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.