wacha niwasalimie mlio ndani ya nyumba,kuanzia barazani, ukumbini, bafuni,******, na uwani, natumaini tutakuwa pamoja na nakaribishwa japo kwa glass ya maji ya kunywa
Waheshimiwa Wana JF na wapenda maendeleo wote. Mimi ni mwanachama mupya kabisa nabisheni hodi. Nimeipenda hii forum na nimekuwa msomaji mzuri sana kwa muda mrefu. Sasa ni wakati wangu wa kujumuika...
hodi wana jf,
naombeni mnipokee ili nami niweze kuwa mmoja wa great thinkers,
ili pia nijifunze kuzungumza kwa uwazi bila kuathiri rules zetu,
asanteni wakuu, shukrani zangu natanguliza!!!
Ndugu Jamii mkae mkao wa kula hivi punde nawaletea habari kemkem za kijamii kutoka maeneo mbalimbali ya jiji la dar hususani maeneo ya mabibo na mikocheni A
Hello, members of this home of great thinkers, I kindly ask you to warmly receive me into this site since Iam a new member. There is no doubt that we shall share a lot. My interest is in...
Salaamu nyingi ziwafikie naomba kupokelewa.Nimekuwa mgeni wa jamii hii kwa muda kidogo lakini nimefikia uamuzi wa kujiunga na kushiriki mijadala mingi inayoanzishwa hapa na washiriki katika forum...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.