Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Mmeniona wana JF naamini katika hoja sio kelele njooni tugawane elimu sasa mimi ndio Novatus Kambota, waweza kunipata kwa anwani ya barua pepe; novakambota@gmail.com.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndg zangu The Great Thinkers, mie Kijukuu ndo naingia leo mgeni naombeni mnikaribishe Mtz mwenzenu. Nimeifaham JF kiuhalisia leo baada ya kumsikia Muasisi Bw. Mziray akiizungumzia kupitia Radio...
0 Reactions
1 Replies
723 Views
pamoja sana
0 Reactions
1 Replies
855 Views
Its been a pleasure joining this forum and am looking forward to been a member here and also to learn more from this forum and also be an additional asset to this forum Thank you
0 Reactions
4 Replies
831 Views
happy to join you guys. hakuna kitu swafi kama ku-share (with positive minded people), inakufanya uwe huru (huru kweli kweli)
0 Reactions
6 Replies
868 Views
waheshimiwa mpo napiga hodi -just want to introduce myself to the forum members
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu..... am a new member naombeni mnikaribishe ili nijisikie sijapotea kuchagua kuwa hapa home of the great thinkers.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
NABISHA HODI JAMAN MPOOO:lol:
0 Reactions
2 Replies
876 Views
Habari zenu ... ! iam new here i hope i will make friends na pia kuchangia mawazo topic mbalimbali kwa ajili ya kusukuma gurudumu la taifa letu
0 Reactions
9 Replies
2K Views
tusaidiane. tukaribishane. wasalaam
0 Reactions
2 Replies
958 Views
Nabisha hodi wadau,japo kuwa nimetangulia kuingia.tuko pamoja katika harakati za kuendeleza taifa letu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanamichezo, hokey, cricket, baseball, rugby, tennis, kuogelea, mieleka, riadha na mwisho football naomba nijitambulishe kwenu kwa ID yangu hii ya pili. Chelsea Blue ni takuwa naitumia kwenye...
0 Reactions
4 Replies
910 Views
WanaJF, naomba mnipokee mwenzenu tuendeleze nchi yetu wakuu. Nafuatilia sana mijadala mbali mbali bila kuchangia chochote. Leo hii nimeamua kujiunga rasmi na hii forum ye GREAT THINKERS ili...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina furaha saana kujiunga na hii forum, nawatakia kazi njema.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello guys, Jina langu ni Baby Angel,huwa natembelea mara kwa mara ktk jamii forum sema nakosa muda wa kujiunga na leo nimeamua kuingia humu na kuwa mwanachama kutokana na kuona uwezo wa wana...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
am Rita J's. i always visit this site but yesterday i decide to join. I hope you can ope the door for me to share my ideas with the whole tanzanian community.
0 Reactions
3 Replies
959 Views
Nawaomba wanajamii forum mnikaribishe kama member mpya, ni mara yangu ya kwanza kujiunga humu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Iam looking forward to have some greater times here at JF. Thanks
0 Reactions
4 Replies
971 Views
Jamani nafurahi kujiunga nanyi . . natumai mko sawa!
0 Reactions
5 Replies
961 Views
Nimeonelea nijiunge nanyi kusukuma gurudumu la fikra. Naombeni mnikaribishe
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom