Hey people sio mgeni kivile nimekuwa nikifuatila JF muda mrefu toka 2007 ila sikuwa nimejisajili now I proud to be a member but I'm not that new.
Mwelekeo wangu ni mtu ninayependa maendeleo...
Wana Jamii Forum hodii hodiii,nilikua bado sijafahamu kwamba kuna chombo cha ajabu kama hiki ambacho mtu ana uhuru wa kutoa maoni na kubadilishana mawazo!.
Nashukuruni sana wadau kwa kubuni na...
Salaams wandugu wakubwa kwa wadogo naomba nami nijitambulishe kama member mpya jinsia yangu ni mwanababa na nipo nje ya nchi kwa kipindi kidogo natumai tutashirikiana na wakati mwingine kupishana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.