Mimi ni mzee wa manyafu ni muumini mkubwa na wa muda mrefu wa Jamii Forums. Here is where we dare to talk openly. Naomba sasa mniruhusu nami niingie ndani ya mjengo ili nipate nafasi ya kuchangia.
Mimi ni mgeni-mwenyeji hapa. Nilijiunga mapema kidogo nikashindwa kubisha hodi kwa sababu ya mtandao hafifu.
Natumaini tutashirikiana kudumisha uhuru wa mawazo nchini mwetu
Ahsanteni
Haloo Wana JF, poleni kwa mahangaiko ya maisha na pilika za utafutaji kwa ujumla.Mimi nimeona nisipitwe nahizi changamoto zinazotolewa kila siku na nisibaki kuwa msikilizaji bali nami niweze...
Mimi ni muumini mkubwa na wa muda mrefu wa Jamii Forums. Nadiriki kusema kwamba kama mtu unataka kufikirisha ubongo wako kisiasa hapa ndiyo mahala pake. Naomba sasa mniruhusu nami niingie ndani ya...
Salaam wanaJF, napenda kupiga hodi kwa jamvi hili maridadi la wanaharakati!!!!
Ujumbe:
Sasa tunataka mtu anayetaka kuwa rais wetu ajiulize anataka kuifanyia nini nchi yetu na sio nchi yetu...
hi there!!this is first time to appear on this forum,and jamii it seems to be of helpfully to me since i get chance to air my openion on matters regarding us.i have alot to say but since this is...
Mimi mgeni wenu ndio kwanza nimejiunga jana japo nilikuwa nafatilia topic na mijadala kwa muda mrefu sana nikanogewa na kuona utamu wa ngoma uingie ucheze!
nitafurahi kupokelewa vizuri,karibuni...
Hodi!
Mimi sio mgeni saaana hapa jamvini, ila nimechoka kukaa pembeni nikaamua kuwa mwanachama hai.
Nimesoma posts zenu na kuona wingi wa busara na hekina zilizomo hapa, nawapa BIG UP wote walio...
Baada ya kuwa mtazamaji kwa kipindi kirefu kidogo, nimeona muda wa kubaki kama mtazamaji umetosha sasa. Nimeamua kujongea jamvini hapa JF ili niweze kushiriki vema mijadala mbalimbali nanyi...
Wanajf niliwamiss sana baada ya kuwa tanganyika kwa mwezi hivi nikiwa na kazi ya kuvuta jiko huko ta, sasa niko Tanzania ndio maana niko hewani. Nimekosa mambo kibao ila tuko pamoja sasa. Siku njema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.