Habari za humu ndani? nafurahi sana kwa kujiunga na jamii forum.. I hope kuwepo kwangu hapa nitajifunza mambo mengi na kufahamu mambo mengi pia...
Ila sijaielewa forum moja hapa JF.. Forum hii...
Nimefurahishwa na maada zinazo jadiliwa na nimeshindwa kujizuia kujiunga kwenu wakubwa kwani kuna mambo mengine yamefichwa wanao weza kuona ni member tu.Mpo juu wakubwa wote kwa ujumla
A great talker is a great liar,
Actions have greater influence than words.
IF I WERE OBLIGED TO SACRIFICE ONE OF THESE TWO THINGS; LIPS or LIMBS, I WOULD AFFORD TO LOSE THE FORMER THAN THE LATER...
Wakubwa nawasabahi, nimeingia ukumbini nipeni kigoda cha kukalia sio kagoda invest.
Najulikana kama Nguruvi3 kwa wale wa paris a.k.a pare wanajua maana, hekima zimejaa ndani ya DNA zangu,nina...
Hello, evrybody out there! hoping u're doing great! Mimi niko very fine. We'll be together ktk uwanja huu ili kupeana changamoto mbalimbali. I believe, we'll share experiences concerning varied...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.