Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
naomba kukaribishwa!:confused2:
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wazee habarini za mchana Ukimuona kuku anakamba ujue mgeni mkalimuni sasa ndio mimi naomba ushirikiano wenu:mad2:
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini za ujenzi wa Taifa wanajukwaa. Nimefika mtaalamu wa masoko ya ndani,Na ni mwanasiasa pia Napenda kuchuku nafasi hii muafaka kabisa kujiunga nanyi katika kuleta MAISHA MABOVU NA DHIKI...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
hello, a'alaykm, hali zenu, my name is Kamal Fareed, and i have recently joined jamii-forums. I'm a Tanzanian, n I currently live in Dar. I'm a student at ISM (International School Moshi)...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jaman waungwana wa humu jamvin nawasalimu kwa pamoja mabibi na mabwana.Salamu aleikhum wote.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mbayuwayu nalenga jiwe.
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Hamjambo jamani
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Waungwana mpo?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani na mie nimo humu mjadalani ati.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimekua maranyingi natembelea blog hii imenivutia namimi nimeona ni vema nikajiunga nipatekutoa mchango wangu
0 Reactions
8 Replies
2K Views
hodi hodi naingia, natumai kufaidika na mengi humu ndani.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
My name is pandisho,tafadhali naombeni ukaribisho wenu,nimeamua kujiunga baada ya kuona mawazo ya vichwa vilivyomo humu.Bila shaka sijachelewa sana kama ambao hawajajiunga
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hi everyone in here!! natumaini mpo wazima.....nimekuwa nikisoma sana jf ila leo nimeamua kujiunga rasmi. happy friday. x
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hellio! to wanajamii wote,nawapongezeni kwanza kwa safu hii nzuri yenye kumfanya mtu akuwe updated na mambo yote bongo na hata mbele mbele. Na pia poleni kwa kazi nzito yakutafuta habari hz na pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hi
am a new member....hiiiii to all
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama ni Maisha yako, marafiki wapo! maisha yanakwisha! marafiki wanakwisha! Kwanini uwahitaji watu wengine wawe marafiki!endapo una maisha yako na marafiki wapo... Nipo sana waungwana, ila nipo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nimeifurahia JF, nimewasoma sana naingia rasmi kusaidia nchi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mtaalam nimeingia. Nawasalimu wote wanajamii. Nasikitika nimechelewa sana kujiunga japo naingia katika mtandao huu mara nyingi sana! Mtaniona bila shaka.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hodi hodi mashosti wenzangu. Aah sibagui jamani mambo vp wakaka. Najiunga rasmi... Mnipokee...
0 Reactions
5 Replies
992 Views
1 2 3 ok!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom