Hi JF users!
It's another new member in the forum.
Salaam kwa washika dau wote pamoja sana katika kuleta mageuzi ya kifikra.
No one can do it except JF!
Bye!
Habari wana Jukwaa,
Mi mwanachama, mpya katika jukwaa hili, nimesikia mengi mazuri kuhusu hili jukwaa na nimeamua kujiunga rasmi, ili niweze kutoa mchango wangu na kufaidika na michango ya...
Ndg wanajamii niko nanyi pamoja na ukimya wote huu tangu nilipojiunga. Tatizo na tumia cm bali napata changamoto zote za jamii forum. Nawasalimu wote tungoje kombe la dunia. Have a great day all.
Nafurahi kujiunga nanyi katika forum hili, natumaini kufaidi mengi, na nitafarijika kama mawazo yangu yatawanufaisha baadhi ya wasomaji na wafuatiliaji wa forum hii.
hai hai wanajamvi naombeni walau nafasi kwenye hili jamvi lilosheheni fikra kadha wa kadha, mi wenu wa mamndenii mzee wa kitochi na kisusio, 'kiru mmbe'
Natumaini mpo shwari kabisa. Nipokeeni kama mmoja wenu,katika kubadilishana mawazo juu ya kinachoendelea hapa bongo na ulimwengu wote.
Michango kwa ujumla ni mizuri,na ndio nimevutika kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.