Nawasalimuni nyote kwa jina la tanzania. Nimefika hapa leo. Hodi jamani, wenyeji mpo humo ndani. Niko mlangoni nabisha naomba mnifungulie mlango nipate kuingia.
Kila heri
Habari zenu wenzangu wa JF. Naitwa Gabriel, natoka Marekani. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu huko Marekani lakini niko TZ siku hizi. Nimejitolea kama mwalimu, lakini kwa sasa najaribu kutengeneza...
Hi guys, am new in this forum and I would love to share ideas and facts from you all. Just to start with I have to tell you that " it is not your aptitude but your attitude that determines your...
khabari za siku waungwana, nilikuwa napita lakini nikaona mahari hapa ni pazuri
patanifaa kwa elimu mbali mbali, na kujifunza kwa mengi, naomba ushirikiano wenu
People leo ni siku yangu ya kuzaliwa so am going to sing for myself.
Happy birthday to me
Happy birthday to me
Happy birthday dear Mama A
Happybirthday to me
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.