Poleni na majukumu ya everydy, mi nlijiunga last yr but unfortntly nikapata safari ya kwenda somwhr wher there's no communication. So would u p'se Karibu me.
Salamu sana wakuu, nawasalimu katika jina Muumba wetu.
Nimekuja kushiriki katika kazi hii nje ya kujenga Taifa letu.
Niko tayari kuwaongoza sala ya toba viongozi wote mafisadi watakaotubu...
Ndugu wana JF,
Mimi ni mtanzania mzalendo nipo huku Far eastern Asia tunajaribu kuwa wajasiliamali kwenye viwanja vya watu hivyo nimeona niwape ujumbe huu kuwa kama kuna ndugu yangu yoyote...
hizo ahadi za uchaguzi mwaka huu ni epusha kombe mwanaharamu apite au inakuwaje? mbona simuelemu muheshimiwa sana.
kwa nini asiwe musitaharabu wa kuwaachia wengine mambo yanapokuwa magumu. sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.