Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Poleni na siasa za Tanzania. Mie niko vijijini biharamulo magharibi nalima mahindi. Huku ki ukweli CHADEMA ni tishio sana labda CCM watumie pesa za ziada kuhonga hasa dakika za mwisho
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jakaya Mrisho Kikwete alipowahutubia wananchi wa Songea kwenye kampeni zake alisema watu wanaopata ukimwi ni kutokana na kiherehere chao.Ni kweli haya?Sio matusi kweli?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Heshima zenu waungwana... hodi hodi jamvini...
0 Reactions
5 Replies
947 Views
Hiiiiiiiiii JF community, I apologize for not following the step on introducing myself to you all, I'm very new to this community please accept me as member and I need your corporation and advice...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hodini wana JF
0 Reactions
4 Replies
988 Views
Hodi wenyeji.... hivyoooooo mama yenu natia timu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu, nabisha hodi naomba mnikaribishe JF
0 Reactions
2 Replies
946 Views
nimeingia kuwapiga tafu wakuu. pipoz power!!!!
0 Reactions
1 Replies
852 Views
Hi all, please welcome me in great thinkers, plizzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!
0 Reactions
2 Replies
969 Views
Naomba unitambue kwamba na mimi nipo jamvini pamoja nanyi.
0 Reactions
1 Replies
708 Views
Wandugu, mimi ni kondoo aliyepotea au mwana mpotevu. Naomba mnipokee nilikuwepo toka enzi za mwalimu ila hapa kati nilikumbwa na mambo mengi ya kidunia. I hope First lady ni yule yule...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu jamaa na marafiki napenda kubisha hodi humu ndani kwa moyo mmoja naomba kukaribishwa na mlioko humu ndani kwa ushirikiano wenu na kuwa pamojakatika uchangiaji wa hoja mbalimbali, nawatakia...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
HI
Hi I am Robert Mussa. I just joined your group. Hope to learn and take part in this enriching forum. Best regards
0 Reactions
5 Replies
887 Views
Hey wandugu jamani,niliruka masitepu nikasahau na kiga mahodi hapa nyumbani,... Hamjambo wenyeji lakini??
0 Reactions
0 Replies
771 Views
naomba mnipokee hapa jamvini,i'm a new member.great thinkers nipokeeni.
0 Reactions
3 Replies
920 Views
Pamoja sana!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hi guys this is the time for change, make sure you vote and every one around you does too
0 Reactions
9 Replies
2K Views
hi guys the TIME for change has come make sure you vote and every onE around you does too.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JAMANI wandugu nimewavamia nyumbani kwenu,naombeni mnipokee kwa mikono miwili.
0 Reactions
10 Replies
999 Views
Bwana Yesu asifiwe!Nimekuja katika jukwaa la watu wenye vipaji,naingia jamani wekeni mikono mnibebe!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom