Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
hodi jamani wakuu nipokeeni katika jamiiforum, navutiwa sana na forum hii, asanteni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi
Salamu kwa wote. Tuko pamoja jamvini.
0 Reactions
2 Replies
933 Views
Thats Silvershadow ndani ya nyumba!............. Hamjambo nyote?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Hi mates naitwa Silvano kutoka Dar es salaam mnaweza kuniita Chichi. Sio mgeni katika forum hii ila sijapost any comment this is ma first time. Niko kwenye site nyingi sana nategemea kupata...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
This is to introduce myself as a new member of this respected Forum in our society. Will be writing to you soon. Cheers!!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi si mgeni humu jamvini, ila kwa kuwa nimebadili jina, nimeona bora nijitambulishe upya. Kubadili jina ni moja ya maamuzi mazito nilochukua kuhakikisha najirekebisha....Dis is all 4 today Your...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hello JF members, my name is Paradox, I'm new here. Anyways i can speak Swahili but I'm not very good at writing it so bear with me on that point, almost all my posts will be in English, So...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nawasalimu wote. Nafurahi kuwa pamoja na wanajamii
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeamua kujiunga na familia hii ili tuweze kuchangia mawazo katika shughuli hii kubwa ya kuiinua nchi yety na kubadilishana mawazo. Nategemea mtanipokea vizuri
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hello am neema......and nina kamba mguuni hapa....
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hi Every one, am new here, hope nitapata Ushirikiano Mzuri Wasalaam Mrengo wa Kushoto
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi Mgeni Kabisa Jamvini naomba mnipokee kama nilivyo. Asanteni
1 Reactions
8 Replies
1K Views
hi!salamu kwa wote jamvini
0 Reactions
3 Replies
1K Views
it feels good to be part of this big happy family natumaini tutashirikiana pamoja
0 Reactions
11 Replies
2K Views
hi
Habari wana blog ya jamii ,tupo pamoja, I like u jinsi mnavyo jadili mambo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habrini za masiku ndugu zanguni! Naomba ukaribisho wenu wa mikono miwili na miguu miwili.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Naomba kubisha hodi hapa. Tushirikiane tafadhali.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau! Nachukuwa nafasi hii kuwapongeza sana kwa uvumilivu, ujasiri, ukosoaji (ingawa wengine c wa msingi) etc... Kwa kweli mmeifanya hii blog isikike sana n bila nyinyi I believe isingefikia hapa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello JF how do you do men?
0 Reactions
1 Replies
955 Views
Hodi humu ndani! Naomba mnipokee Waungwana!!!!
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom