Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hodi hodi hapa jamfini nduku sangu wana Jamii Forum. Ni mimi Mtansania mwensenu Msee Lekasio nimeamua kujiunga ili tuwese kubadilishana mawaso katika kuendelesa hili gurudumu la maendeleo ya nji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndo kwanza najiunga, na ni mgeni naomba mnipokee.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
am new,natumaini nitapata ukaribisho mkunjufu kama ilivyo hulka ya ukarimu ya wabongo.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
wakuu mmekuwa mkinifurahisha sana ka michango yenu mbalimbali hivyo na mimi nimeona si vibaya kuongeza nguvu.
0 Reactions
27 Replies
3K Views
New
i feel happy to join JF, may God bless you all Amen.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hodi jamani huku ndani.
0 Reactions
3 Replies
908 Views
Natanguliza salamu kwa wakubwa na wadogo Nipokeeni
0 Reactions
25 Replies
2K Views
hakika amebaki mtu mmja tu wa kukamilisha hesabu za JF, huyo akipatikana, atakuwa mwamchama mwaminifu wa JF na kutoa michango yenye manufa makubwa kabisa kwa wanaJF wote na jamii kwa ujumla...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari Jamii Forum, Mi ni msukuma naishi huku arabuni.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
naitwa esekia, naomba kuwa nanyi wapendwa ndugu sangu!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
bwana asifiwe, tumsifu yesu kristo, aslum alykum, kama kuna amboa sijawagusa mniwie radhi ndugu sangu binadamu mi sijakamilika. nikama naingia hivi naomba tu mmnipokee na mwenyezi mungu atazidi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hi everybody, I would like to introduce myself in this great Forum, hope I will add some constructive comments if not ideas like you guys!!! Thank you. Mwasi
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hodi wapendwa! nimekuja peke yangu, niko mimi tu wala sina gharama kubwa, naomba niwe nanyi pamoja humu ndugu sangu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu za leo waungwana!!! Naomba kuuliza............nilikuwa naelekea JF, sijui ndio hapa? na kama wenyeji wangu nimewakuta?
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hodi hodi wadau! kuku mgeni mie nina kamba mguuni bila shaka sijachelewa.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hello JF
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu wa jamii forum,nami nimeungana nanyi ili tuweze kubadilishana mawazo. Pole na majukumu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
J12
Hi JF members am happy to be part of JF members.mama majungu
0 Reactions
3 Replies
935 Views
oya washikaji wa baraza la jamii mambo vipi? nami nimo ktk baraza naomba mnipe sturi ili tuweze kushirikiana ktk kutoa maoni mbalimbali kwa ajiri ya faida ya nchi yetu naamini sturi nimepata...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom