Hodi jamvini wana JF..nimekua nikifuatilia mada za humu ndani kwa mda mrefu sasa nimeamua nijitose mzima mzima baada ya kuzikamata vilivyo sera na fursa mbalimbali zilizomo humu ndani
Nisiongee...
Wana ndugu,
kwa muda mrefu nimekuwa nikiitembelea hii forum kama mgeni.
jiwe la kunole nimekuja ,
wenye nyembe butu, misumeno butu, mapanga butu, visu butu, mikasi butu na kila kitu butu,
nimekuja...
Habari njema?
Jina langu ni Alfredo, natoka Peru (South America) :).
Ninajifunza kiswahili, tena nawaza kwamba forum hii ni nzuri sana!! naweza kusoma sana!!
Najifunza ushauri katika chuo kikuu...
Haya ndugu Zangu Wana The Home of Great Thinkers nimeamuwa na mimi kujiunga hapa baada ya siku nyingi kufuatilia hii The Home of Great Thinkers nimeamuwa kuwa Mwanachama mwenzenu nawaombeeni...
Wanasabahi woote!
Mi ni mgeni katika JFs naomba tuendeleze libeneke la kutoa michango yetu kwa wanajamii woote wasomao JFs pote duniani....
Nawapenden sasasana! Receive my big hug & Kisses to...
Ndugu wana JF ni mimi member mpya kabisa Kichwa, nimekuja kujiunga nanyi kupata chamgamoto na kutoa changamoto hapa jamvini. Naomba mnipokee.
Asanteni.
Hello, 'wanajamii'. Hope everyone's okay. Just joined, so thought to introduce myself. The name's Phoenix, I find this forum really interesting ... so keep up the good work!
Btw, I was...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.