Naitwa george william mkazi wa moshi - kilimanjaro nawakaribisheni wote tuweze kuzungumza jaman mimi ni mgen nategemea ushirikiano kutoka kwenu!!!!!!!!!! waweja sana!!!!!!
Hodi hapa, nimekuwa mgeni kwa miaka miwili sasa na leo nimeamua kuingia humu ndani. Nimesoma maandiko mengi sana ya kila idara nami nimeingia kuchangia.
Misimamo yangu ni kama ifuatavyo...
Nawasalimia wakuu wote na kuwafahamisha kwamba mimi ndiye Kipunguni, na kwa sababu zisizoweza kuzuilika nitajulikana kama Kiwalani kuanzia sasa.
Shukurani sana wakuu, tuendeleze libeneke ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.