Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Bon
Salaam, a new comer
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I am felix, i have joined the team hoping to learn a lot via various true discussions that will be deposited by serious members. regards
0 Reactions
1 Replies
948 Views
Hodi jamvini wana JF..nimekua nikifuatilia mada za humu ndani kwa mda mrefu sasa nimeamua nijitose mzima mzima baada ya kuzikamata vilivyo sera na fursa mbalimbali zilizomo humu ndani Nisiongee...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Closed
hello members am happy to join u in this forum
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Wana ndugu, kwa muda mrefu nimekuwa nikiitembelea hii forum kama mgeni. jiwe la kunole nimekuja , wenye nyembe butu, misumeno butu, mapanga butu, visu butu, mikasi butu na kila kitu butu, nimekuja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Haya Waungwana Napiga hodi kwenye mlango mimi ni Mgeni nawaombeni mnipokee katika huu mlango mkuu wa JF asanteni
0 Reactions
1 Replies
939 Views
hi all, tupo pamoja.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hi JF members, learned a lot from this forum ,accept me as a new member.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari njema? Jina langu ni Alfredo, natoka Peru (South America) :). Ninajifunza kiswahili, tena nawaza kwamba forum hii ni nzuri sana!! naweza kusoma sana!! Najifunza ushauri katika chuo kikuu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
ninayo furaha kujumuika nanye ze great thinker. Natumaini mambo mengi kujifunza na kuwafunza hapa kama si kuhabarishana. Nawatakia siku njema
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Haya ndugu Zangu Wana The Home of Great Thinkers nimeamuwa na mimi kujiunga hapa baada ya siku nyingi kufuatilia hii The Home of Great Thinkers nimeamuwa kuwa Mwanachama mwenzenu nawaombeeni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeingia jamvini kwa kasi ya tsunami. Pearl, Jeni, First Lady1, Rita, Azikiwe, Nguli na wooote mliopo hapa ndani naomba mnipokee
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Am glad to be here...
0 Reactions
1 Replies
926 Views
Shikamooni Wakuu, Jina langu si hoja. Adabu iko palepale kwenu wakulu... Shalom!
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wanasabahi woote! Mi ni mgeni katika JFs naomba tuendeleze libeneke la kutoa michango yetu kwa wanajamii woote wasomao JFs pote duniani.... Nawapenden sasasana! Receive my big hug & Kisses to...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana JF ni mimi member mpya kabisa Kichwa, nimekuja kujiunga nanyi kupata chamgamoto na kutoa changamoto hapa jamvini. Naomba mnipokee. Asanteni.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hi.
Im new here.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hey
Hello, 'wanajamii'. Hope everyone's okay. Just joined, so thought to introduce myself. The name's Phoenix, I find this forum really interesting ... so keep up the good work! Btw, I was...
0 Reactions
2 Replies
871 Views
Whats up guys? this is noname hope i will add value to this forum:)
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nilikuwa sijapata taarifa
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…