Wakuu upepo wa mageuzi ndo umeshanisukumia barazani ninapoanza mwaka mpya wa 2010. Bais nawatakieni kila la heri na fanaka katika mwaka huu na haswa kutimia kwa ndoto zenu kuu (na zangu pia) kama...
Habari wana JF wenzangu! ninaitwa Nsajigwa napenda kujitambulisha kwenu kama mwanachama mpya.
Napenda kubadilishana mawazo,tafadhari tupeane ujumbe wa aina mbalimbali.
Jamani mie ni mgeni mwenyeji, kwani ni siku nyingi nilikuwa mfuatiliaji wa mtandao huu lakini mwenzenu nilikuwa sijaamua kujiunga kutokana na kuzidiwa na masomo, nilikuwa bado nakariri ujinga...
Hi to everyone.
I write you from far far away- from Armenia. I came to this forum because I need to find where this phrase is from "To be able to do everything by knowing nothing is dangerous"...
Ndugu WanajamiiForum, hamjambo? Mimi ni mgeni hapa, sana. Siku ya leo, Jumamosi 26 Desemba, 2009, ni siku yangu ya kumi (10) tu. Kwa hiyo bado sina hakika kama ninalotaka kuuliza linaulizika au...
Nimefurahi sana kujiunga na JF na ninatumai itanipa uelimisho wa kina na dhati kuhusu masuala ya kimaendeleo Tanzania. Pia nitapata nafasi ya kubalishana mawazo na wanaJF kwa yale ambayo nitaweza...
Habari wanajamii. ingawa nimejiunga kitambo kidogo, lakini samahanini niliingia bila hodi. unajua ni nini? nilishindwa kupiga hodi (ku-post thready) siku ya 1. si unajua tena kuku mgeni...
Hi folks!
I have been reading your inputs and thought it is time to join this forum. You are all great! I hereby wish Peace as your gift at Christmas and blessing all Year 2010 through...
Nawasalimu nyote kwa unyenyekevu. Nimejiunga kujifunza na kuchangia kadiri ya weledi na ujuzi wangu. Na kubwa zaidi, natafuta wabia wa kujiunga nami katika biashara huru ya kimataifa.
mambo wanakijiji? Niliingia kijijini nikapewa ufungua tahamaki hamad ufunguo siuoni imenichukua busara kupata ufunguo huu sasa nadhani naweza kuingia na kutoka jamaa wamenipatia spea.
tutaonana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.