Habari zenu wakuu mimi member mpya wa jamii forums napenda kuja kwa kasi mpya ari mpya na nguvu mpya katika kujenga taifa bora la tanzania
Napenda kuwasilisha !!!!!!
Habari zenu wakuu, I'm glad kuwa mmoja wa wana JF kwani tayari nimenufaika na kujifunza mengi kutoka humu jamvini - hongereni sana! Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali hapa JF na kwa kweli...
Hi wadau, I have been a honest reader of this forum for number of days now. As time goes i find it necessary to be a member of this society so that we can share together what we are having as to...
Being a technologically challenged being, it took me this long to register, but it is really good to be here finally. Asanteni kwa kunikaribisha, Mtanganyikan mie.
habari waungwana.
leo nimejiunga rasmi uwanjani hapa JF. ni matarajio yangu kuwa tutaendelea kuwasiliana na ndugu wote na kubadilishana mawazo na michango mbalimbali kwa maendeleo yetu kama...
nawasalimuni nyote kwa moyo mmoja, kaka zangu, baba zangu, mama zangu na wanawake wenzangu kwa ujumla. jamani, mjenga nchi ni mwananchi na mvunja nchi ni mwananchi. japo ni mgeni humo ndani...
Ni wapi (studio gani) hapa Bongo ambapo unaweza kupiga picha kwa ajili ya Diversity Visa (DV-2011) Green Card Lottery
tafadhali naomba kuuliza maana nataka kujaribu bahati yangu
hello wanaJF,nami nimekuwa humu kwenye forum kwa muda kidogo kama miezi kadhaa hivi,lakini sikuwa nimejitambulisha,but nilikuwa nachangia mada kama kawa,so najitambulisha rasmi kwenu,
asanteni
Waungwana hamjambo?? Napiga hodi kwenu tafadhalini nipokeeni ni mgeni wenu kwenye Blog hii ya Jamii, ndiyo naja kwenu leo.
Jamani nimekuwa mwanachama, nakubali hiki ni kisiwa cha fikra. Asanteni...
Hi every1?Hopin ur all great,am a new member in writting though i hav been here for almost a year now!!!!!!!!!!!!looking forward to posts and commentin
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.