Hi Wanakijiji,
mimi ni mpya hapa,na nafurahi kuwa hapa JF kama mmoja wa wana kijiji wa JF
Najaribu kutuma post hapa ya kujitambulisha sasa sielewi kama ni sehemu sahihi au tofauti ya...
kutokana na michango yenu yenyekuvutia,kelimisha na kufurahisha nami kijana wa makamo nimeamua kujiunga nanyi kuchangia katika yale nitakayokuwa na uwezo nayo kuyachangia.kwa namna itakavyokuwa...
Ningeliomba samahani kwa kuwa nimejiunga kipindi bila ya kujitambulisha kwa wana JF.
Mimi naitwa Mrfroasty, natokea Zanzibar na nilijunga na JF kama miezi 6 iliyopita na nimekuwa mdau tokea...
Hi Great Thinkers,
Na furaha isio kifani kujiunga nanyi siku hii muhimu.
Ikiwa imebaki siku moja kuadhimisha siku ya uhuru wa TANGANYIKA nawaomba mnipokee kwa mikono miwili.
Kwa kuwa...
Hello all members of JF:rolleyes:,
I want to welcome myself in this forum, I have been reading most of the posts and articles in this forum, i must say they are truly intriguing.
I look forward...
Jamani wana JF pamoja na Mods nilikua na pendekezo kuwa kama inawezekana ianzishwe navigation button nyingine ambayo itakua inaonyesha watu wote ambao wako online,mfano labda hiyo button inaitwa...
Heshima zenu mabibi na mabwana!
Nimekuwa nikisoma mijadara mbalimbali katika jamii forum na kiasi kikubwa inapanua uwezo wa kuelewa na kumfanya mtu kuwa na mtizamamo tofauti wa kile ambacho...
Hello all members of JF,
I want to welcome myself in this forum, I have been reading most of the posts and articles in this forum, i must say they are truly intriguing.
I look forward to...
Napenda kuwasalimu na kushirikiana nanyi katika mtungo huu hongera sana kwa makala nzuri. Ila huwa sipendi watu wanaopenda kuchanganya mambo mazito ya majaliwa na nchi yetu na chuki au hisia za...
Nashukuru sana kupata nafasi hii ya pekee mimi nami kuweza kujikaribisha humu kwani kabla sikuelewa nikaingia kabla ya kupiga hodi.Jamani ndugu zangu kwanza nisameheni kisha mnikaribishe .Naamin...
hey wana JF, I'm a new member signed just now.......
Kwanza hongera saana kwa kazi nzuri, nimekuwa nikipitia saana baadhi ya articles hasa za politics, nyingi zimekuwa zikisisimua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.