Yes i can say JAMIIFORUM is really Home of great Thinkers, I join the Forum without compulsion of any one therefore its my keen interest and hoping to learn more, and sharing ideas.
JAMIIFORUM...
Na mie nimejitutumua kujumuika nanyi kimawazo, kujifunza na kufundisha mtandaoni. Natumai kuna mengi na wengi tutakao afikiana na kutoafikiana, ila kadri ya itavyokua tuweke mbele uungwana...
Naomba nijumuike nanyi katika kazi hii adhimu ya kukumbushana wajib, majukumu na haki zetu kama waTz bila kuoneana haya ili jamii isijelia na kusaga meno kwa kunyamaza kwetu
wakulu, nimeamua rasmi kuwa mmoja wenu, hii yote ni katika jina la uwazi, ukweli, spidi na viwango
msisahau kunikumbusha protokali ikiwa nitaenda ndivyosivyo
Habari zenu mabibi na mabwana, vijana na wazee.
my name is junior from Tanzania but i'm currentely lives in marloca spain, i just came-accros this board from my friends who recommends me to...
Hamjambo wanajamii? Nimefurahi kujiunga katika ukumbi huu wa Great Thinkers. Natumaini sote tutafaidika kwa michango mbalimbali. Nawatakia kila la heri kwenye kusukuma gurudumu la maendeleo ya...
Jina langu M-mbabe (mtumishi; adui numero uno wa fisadi's; sihitaji udiwani, ubunge wa uraisi). Nafurahi kujumuika na wanajamii kwenye wanja hili. Wanja hili liko juu!
Hodi Wanajamii,
I'm Qadhi,MBBS student outside Tanzania,glad to join,expect to learn alot from and exchange views with Great Thinkers.
Peace.
Call me Qadhi.
Dear All
I am extremely very happy to join the club. I will appreciate getting tips on job opportunities.I have a very wide experience in relief and emergency operations. Professionally I am a...
Habari zenu wote? mimi ni mwanajamii mwenzenu niliyepata nafasi ya kujiunga nanyi leo. nafurahi kuwa hapa. nilipata kusikia habari kuhusu jukwaa hili la jamii hivyo nikaona si vibaya nikajiunga...
Naitwa Irene kutoka Dar Tanzania.
Nilifika kijijini siku mbili tatu zilizopita nikawa nashindwa kuona mahala pa kupost thread sasa nimepapata nakupeni hi wote!
Naamini mmenikaribisha hapa...
Hi ladies and gents, mambo yakoje and how are you for those who are not used to SWAHILI Language. Unajua, when you enter a place which for sure you know that you are new, you better give asalam...
Amani kwenu wana jf; niko na furaha kujiunga na forum the home of great thinkers. Natumai nami nitachangia ili nami niweze kuchangia kwenye kufanya watanzania kufikiri kwa uhuru zaidi. Tupo pamoja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.