Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Habari Jamani wote, Natumai mnaendeleza libeneke kama kawa,mimi ndio nimejiunga hivyo tegemeeni mengi kutoka kwangu. uncle SR
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimechoka kuangalia humu kimiakimia sasa nabisha hodi kabisaaaaaaaaaaa naomba mnikaribishe! Kama kawaida hiki ni kikaango hakichagui mboga, twende kazi.
0 Reactions
1 Replies
989 Views
naomba kukaribishwa humu jamvini, nimekuwa mshiriki mzuri wa hii forum kwa kusoma tuu na wala sikuweza kuchangia chochote. natumaini nami nitkuwa mmoja wa wachangiaji. be blessed
0 Reactions
1 Replies
1K Views
salamu nyingi ziwafikie popote mlipo
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hi everybody out there! It's great to be amid great thinkers! Been visiting Jf for quite a long time. Being tired of remaining on the sidelines, have now decided to jump into the pitch with both...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari zenu wanajamvi wenzangu. well ndo hivyo tena mi ni mgeni humu na minaomba ushirikiano wenu ili tuendeleze gurudumu hili la MAPAMBANO, well you heard me right mi ni mwanamapambano na nimekua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndg zangu, heshima kwenu wote... Nilikuwa member kwa muda hapo nyuma, wakati nyumba yetu ikiwa jambo forum, then nikapotea kwa muda kutokana na shughuli za kila siku. leo nimepata muda, naomba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natumai wote mpo shwari. Nimejiunga nipate kushiriki kikamilifu katika kushirikishana mitazamo. Tupo pamoja!!!!!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hi Comrades Its really a pleasure to be a newa member Keep in touch guys
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A VERY INTERESTING CONVERSATION An Atheist Professor of Philosophy was speaking to his Class on the Problem Science has with GOD, the ALMIGHTY. He asked one of his New Christian Students...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu habarini?naomba kuingia jukwaani mwana kwenu mnipokee
0 Reactions
1 Replies
960 Views
Salaam kwenu wote. Nimekuwa nikifatilia kwa muda mrefu posts mbalimbali na sasa nimeshawishika kujiunga ili nami niweze kutoa mchango wangu. Naanimi yote yanayo ripotiwa humu huwa yana leta...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuuu, Heshima mbele, nawasalimu wote, na nafurahi kuwa hapa. Asante,
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hi
Nawasalimuni wajameni,
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hodi humu. Habari zenu waungwana. JF imekuwa kinara ktk kuwaunganisha wenye mbongo zilizonoleka.........nipokeeni waungwana na niwe miongoni mwenu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi comrades, Im really happy to be a new member today Keep in touch
0 Reactions
1 Replies
999 Views
halooo members how is it? im interested to being a member of this forum May i have your touch please so that i cant fall dowwn? happy to in the forum.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Am glad to be here. Hope to learn a lot and also contribute something. Our land needs a new direction and a new way of thinking and doing things. We have trusted a few far too long and they have...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi, wanaJF nimewakubali, tukopamoja
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi, wanaJF hakika mnakubarika. Kazeni buti
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom