Assalamu alykum
New here to forum and wanted to say hi to all here. Very pleased to finally join thinkers as I've been looking at it for some time now. Hoping to be somewhat active here and...
Hodi hodi jamani wana JF....huyu si mwingine bali ni Mkaruka Giledi (Tata Giledi) wa Etaro Makao hadi Ekungu,kwa wale abhagangaji wamenisoma hapoooo....ndani ya jumba la wana JF...Ahsanteni sana...
Nimejaribu Pita Pita katika JF nakuipenda na ni matumaini yangu kuwa Wana JF Mtanilea vizuri!
你好!Nihao! -Habari!
我 wo-mimi
你 ni-Wewe...
ukimsikiliza mh,rais wetu anavyosisistiza kuhusu kilimo kuanzia kwenye pesa za epa mpaka kwenye bajeti nabaki najiuliza kitu kimoja pesa hizi mkulima wa kawaida atazikopa vipi hana dhamana ya...
Ndiyo tu nimejiunga na forum hii. Naahidi kuwa mwanachama productive nitakayeshiriki katika mijadala kwa hoja. Ninaleta post yangu ya kwanza muda si mrefu ujao.
Habari zenu wenzangu, Shikamooni wazee. Mi si mgeni, ila sikuiona hii sehemu ya kuamkia nilipojiunga. Jah bless, One Love - One Aim - One Destiny.
PamoJah.
Mfalme hapa. Ingawa nimeshajibujibu kidogo kwenye habari kadhaa, lakini mimi bado ni mgeni hapa ukumbini. Nimeona nisalimie kidogo na kujitambulisha.Tuko pamoja, naomba mnipokee wandugu.
Mfale.
Hi to the entire JF Community! After having been a fervent reader of JF, today I made-up mind to register so that I can access contents privileged to members only and occassionaly share my...
Hello Great Thinkers!
I've just joined JF and would like to become an active member so that I can make my contribution for the welfare of our nation. Bravo JF!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.