Nimefurahi kuona forum hio na ninaomba kuingia, hata kama bado sijajua kiswahili kabisa. Sasa hivi niko mbali kidogo ya tanzania ila moyo yangu inakaa kule. Ntafurahi kupata nafasi kukuta watu...
I salute all of you members of this great thinker's site, i'm profound humbled to be a member among you. i envision to my membership will be worthwhile, and i am looking forward to add contribute...
Ningependa kutumia fursa hii kushirikiana na watanzania wote popote mlipo katika kupeana mawazo na kutatua matatizo hasa yale yanayohusiana na Computer, Communication nk.
Hope you are all well,just got in as a new member and I have been very excited with all that is going on in this forum, I do wish my sincere regards to all members of JF. Lets push on.
Mambo vipi guys!!
Nimejua na jamii forum baada ya kuona kuna topics zilizotulia na comment nzuri zenye manufaa kwa jamii.
mwana jamii mwenzenu
Birmingham-UK
Wandugu wenye uchungu na "nji" hii...yaani mambo yamekuwa mengi sana hapa mjini ila nimekuwa nikisoma sana daily ma-updates yanayotumwa straight kwenye e-mail yangu lakini mchango wangu umekuwa...
Hello wanaJF wote. Nami nimeingia na nina hasira kidogo kwa wale wote wanaoididimiza nchi hii. Kwa hivyo nitakuwa sina mchezo hata kidogo -- naomba ushirikiano. hasa nawataka wale wanafiki --...
Nimeamua kujiunga na jamii forum.
Baadhi ya utambulisho wangu,
1. Sipendi matusi
2. Napenda mada zenye kuheshimu watu
3 Mimi ni mtetezi wa wanawake.
4. Napenda Injili na nyimbo.
mimi kama mnavyonisoma hapo naitwa Peter Mtemiwao......nipo kanda ya ziwa(mwanza) nimefurahishwa na michango yenu waheshimiwa wanajamii........Nikaribisheni tuendeleze libeneke
cheers
Thanks for the stage but, I want my vote Back! Let's support these Iranians, they need our backing. Kikwete represented us when we backed our friends in Kenya, let's do this together! WHERE IS MY...
Jamani hivi nyie vipi wasela??
mbona naingia halafu sikaribishwi???
Nitasusa mimi au mnabisha?????
Kama hamjambo hiyo hainihusu ila nawasalimia tu kwa jina la Amani na Upendo
Ndugu zangu wote hamjambo humu ndani?
Najiunga rasmi kundini, lakini mimi niko tofauti kidogo kwani "ntabase" kwenye jinsi JF itakavyotunisha kamfuko kangu, nimeona kuna resources kibao humu na...
Nimekuwa nikisoma jamiiforums kwa muda mfupi sasa na kugundua kuwa nimejifunza mengi kwa kipindi hiki kifupi. Kwa misingi hii nimeonelea ni vyema nikajiunga rasmi na Jamvi hili baada ya kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.