Naomba kukaribishwa kwenye jukwaa la JF. The forum seems to be very educative and entertaining. I've been following the topics in here for quite some time now,nimeamua kujiunga ili niwe sehemu ya...
wajumbe wa jamiiforums assalam aleykum,nimeamuwa kujiunga na jamiiforums niweze kujuwa nini kinatokezea na mimi niwe mmoja niweze kutoa mchango wangu,nakummbeni mnikaribishe.
pharow
Mi msichana toka Ugerman, nasoma udaktari. nafurahi kuwa nimekuta JF. Natamani mnanipa nafasi ya kuboresha kiswahili yangu. Kwa hiyo kama labda nakosa grammar msichukie.
Nimekuwa mpenzi wa hili jamvi,na leo nimeamua kupiga hodi nikaribishwe kikaoni badala ya kuwa mshuhudiaji kwa mbali.natumaini kupokelewa na kujifunza mengi toka kwenu.
hellow wanajamii, nikaribisheni ili tuwe pamoja katika kuchangia mawazo yatakayoijenga jamii na nchi yetu kwa ujumla. UKIMWI ni hatari, so take care!!!
Tanzanians and JF Members,
I have been and always will have interest of my country at heart. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
I am a Conservative with liberal views and would like...
Ndugu wana JF, kwa muda sasa nimekuwa nikipitia mtandao huu na kweli nikiri kwamba nimejifunza mengi. Sijaona mahali pengine ambapo kwa nafasi yangu naweza kukutana na watu aina tofauti na...
Habari zenu ndugu mlio hapa JF, nimelisoma jukwaa kwa takribani mwezi mmoja na nimefaidika na mengi hivyo ahsanteni sana kwa hilo, nami nimeonelea nijiunge ili nipate kuchangia yangu niliyoojaliwa...
Natumaini wanajamii hamjambo, vile vile ninaamini nimekaribishwa pamoja kwamba nimeisha ingia ndio natoa taarifa.
Mtarijie kuona sasa mambo mengi toka kwa Ona Sasa
Asenteni sana kwa ukarimu wenu.
Wana JF,
Napenda kuwapongeza wote kwa kazi nzuri na michango mingi yenye kujenga. Nimekuwa msomaji wa muda mrefu sana.
Nimeona nijiunge nanyi ili niweze kuchangia.
Siko anony...ni mwandishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.