Nailifanya mapenzi na msichana mmoja ambae kwa hapa mtaani kwetu inasemekana ameathirika. Na kibaya zaidi huyo msichana atumii dozi(ARV). Na katika kufanya nae mapenzi sikutumia kinga. Yapata...
Memiliki 9 venue khusus untuk pesta pernikahan, trade mall pada Apartemen Season City ini begitu diminati. Selain berkapasitas menampung antara 5000 hingga 6000 an orang membuat penyewa jadi makin...
Habari wana-Jamii Forums Naitwa Fatma.
Nipo hapa kwa ajili ya kujifunza na kujadili mambo mbali mbali yanahusu fedha, uwekezaji na uchumi. Mbali na hilo napendelea pia mijadala inayohusu maswala...
Ni matumaini yangu mko salama na wenye afya tele na wale ambao tupo kwenye mitihani ya maradhi basi Mungu atufanyie wepesi.
Ndugu yenu kaktika kujenga fikra nimejiunga nanyi, tuwe pamoja.
Sent...
Habari zenu wakuuuu, poleni na majukumu ya hap na pale na poleni kwa janga/majanga (....CORONA....) Yanaiyoikumba dunia kwa ujumlaaa.... Mimi ni mgeni naomba nikaribishwe jamiii yen
Sent using...
Awali ya yote nashukuru kukubaliwa kuunganishwa hapa, nimekuwa msomaji wa mada mbalimbali za wanaJF kwa muda mrefu.
Nimeelimika na mengi, pia nimekuwa nikiburudika na mengi kupitia JF.
Nimeona...
Hodini Jf mm ni member Mpya bila ya kuwa na Account humu Jf ila nilikuwa mdau mkubwa wakufuatilia habari za aina mbalimbali.
Naombeni ushirikiano wenu pia, asanteni sana familia ya Jf.
Sent using...
Habari za jioni JF?
Nilipotea kwa zaidi ya miezi 6 kwasababu ya zilizopo nje ya uwezo wangu lakini sababu kubwa ni kukosa uwezo wa kulog in kwenye account yangu.
Naamini mtanipokea tena katika...
Hodi jamani humu ndani:-Awali ya yote naomba kuwashukuru mno kunikubalia
Kujiunga na jamii hii kwani najua nitajifunza mengi kwa hayo machache
Asanteni sana
Sent using Jamii Forums mobile app